Serikali kugharamia mazishi ya watu 17

Gari lililopata ajali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo kuwa Serikali isimamie msiba wa watu 17 waliofariki kwa ajali mkoani Tanga hadi utakapomalizika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS