"Milango iko wazi kwenye nishati"- Makamba

Waziri wa Nishati, January Makamba

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania milango iko wazi kwenye uwekezaji wa sekta ya Nishati kutokana na uwepo wa mahitaji makubwa ya Nishati katika uzalishaji na Usambazaji kwenye maeneo ya sekta hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS