Abdul Nondo apatikana, Polisi wazungumza Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuwa Kiongozi wa Ngome ya Vijana wa ACT - Wazalendo Abdul Nondo amepatikana baada ya kutelekezwa eneo la Fukwe za Coco Kinondoni Jijini Dar es salaam Read more about Abdul Nondo apatikana, Polisi wazungumza