Mzee Issa asifika kwa utatuzi wa migogoro Mtwara
Mahakama ya mwanzo Msimbati, wilaya ya Mtwara imekosa wateja kutokana na kuwapo kwa Mzee Issa Mkumba (60), ambaye pia ni Mwenyekiti wa kitongoji cha Mtandi Majengo, ambaye anaaminiwa na jamii yake kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutatua migogoro licha ya kutokuwa na taaluma ya sheria