Ladies First 2023 yafungua neema Riadha Tanzania Ladies First ikiwa ni wazo la Nguli wa Riadha nchini Tanzania, Kanali mstaafu Juma Ikangaa, imefanyika mwaka huu ukiwa ni msimu wa nne na kushirikisha mikoa 30 Kati ya 31 Tanzania Bara na Visiwani. Read more about Ladies First 2023 yafungua neema Riadha Tanzania