Wananchi waomba urahisi wa huduma za Afya

Rozina mathias, mkazi wa Mburahati

Wananchi wa Mtaa wa Kanoni Mburahati jijini Dar es Salaam, wameiomba Serikali kupunguza gharama za vipimo ikiwezekana iwe bure ili waweze kujua Afya zao mapema, wapate matibabu ili kuepukana na vifo vinavyotokana na kuchelewa kupata huduma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS