"Watanzania ombeni msamaha kwa Mungu"- Dkt Mpango
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango, ametoa wito kwa Watanzania kuongeza jitihada katika kuimarisha ulinzi wa watoto ili kuwaepusha na vitendo vya ukatili vinavyowakumba hivi sasa.