Watuhumiwa 45 mbaroni Mbeya, wapo wa mauaji Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu 45 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo watu 12 kuhusika na mauaji katika kipindi cha kuanzia Desemba mosi mpaka 23 mwaka huu Read more about Watuhumiwa 45 mbaroni Mbeya, wapo wa mauaji