Maoni kuhusu sheria ya habari yatua kwa AG
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema tayari maoni ya wadau kuhusu mapendekezo ya sheria ya huduma za habari yamekabidhiwa katika ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)