Pele 'Mfalme wa Soka' afariki Dunia Pele akiwa ameshikilia Kome la Dunia Gwiji wa soka wa zamani wa Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 29 akiwa na umri wa miaka 82. Read more about Pele 'Mfalme wa Soka' afariki Dunia