Rose na Chuchu wasimamishwa kazi Uyui
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora amewasimamisha kazi Rose Shirima, aliyekutwa na tuhuma ya matumizi ya lugha isiyo na staha mahali pa kazi na James Chuchu aliyekutwa na tuhuma ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na kuleta taharuki katika jamii.