Jerry Muro atenguliwa Jerry Muro Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida Jerry Muro, amepigwa chini kwenye nafasi hiyo kufuatia uteuzi uliofanywa hii leo Januari 25, 2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Read more about Jerry Muro atenguliwa