Ndoa 22,000 zavunjika mwaka jana nchini Zambia Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka raia wake kuacha kukagua simu za wenza wao. Matamshi yake yalikuwa sehemu ya ombi la kujaribu kuzuia viwango vya talaka nchini humo. Read more about Ndoa 22,000 zavunjika mwaka jana nchini Zambia