Rais Samia asisitiza waliochepusha maji kuondolewa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amewaagiza wakuu wa mikoa nchini kutekeleza maagizo aliyoyatoa Makamu wa Rais Dr Philip Mpango hivi karibuni ya kuhakikisha kwamba mifugo yote ambayo imeingia katikka bonde la mto Rufiji kinyume na utaratibu inaondolewa