Mwalimu wa kipaimara ambaka mwanafunzi wake
Katekista wa kanisa la Roman Catholic parokia ya Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe, Simon Njavike (43) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya hiyo kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu(17) ambaye jina lake limehifadhiwa.