"Wanazusha kutoka na Zuchu" - Diamond Platnumz 

Picha ya Diamond Platnumz katika kionjo kipya cha wimbo wake

Staa wa mziki nchini Diamond Platnumz ame-make headlines mitandaoni baada ya kuachia kionjo cha wimbo wake mpya wa Chitaki akiimba watu wanazusha kutoka kimapenzi na Zuchu. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS