Mbowe akamatwa na polisi Songwe

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe

Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe pamoja na wafuasi wa chama hicho wakati wakitokea Halungu kuelekea Tunduma kwa ajili ya mikutano ya kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS