"BASATA hawatamkandamiza Dulla Makabil" - Mwana Fa

Picha ya Mwana Fa kushoto, kulia ni Dulla Makabila

Mbunge wa Jimbo la Muheza Tanga na msanii wa HipHop Mwana Fa ameshea ujumbe kuhusu barua ya BASATA kwenda kwa msanii wa singeli Dulla Makabila kujadiliana juu ya wimbo wake mpya wa pita huku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS