Akutwa kanisani akiwa uchi
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Rama anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Morogoro amekutwa akiwa uchi ndani ya kanisa la Anglikana lililopo mtaa wa Matema kata ya Maguvani Halmashauri ya mji wa Makambako