Wachina 2 washtakiwa kwa uhujumu uchumi

Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na Mawakili wa Serikali Wakuu, Patrick Mwita na Benjamin Muroto, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki ambapo washtakiwa wote wawili wanakabiliwa na shtaka la kuongoza genge la uhalifu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS