Shambulizi la Israel Doha, Qatar laua Hamas 5 Israel imefanya jaribio la kuwaua viongozi wa kisiasa wa Hamas kwa shambulizi la anga nchini Qatar siku ya jana Jumanne, Septemba 9 na kuzidisha hatua yake ya kijeshi katika Mashariki ya Kati. Read more about Shambulizi la Israel Doha, Qatar laua Hamas 5