Walioziba Mto Ruaha bila vibali kuchukuliwa hatua
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amewaagiza viongozi wa mabonde ya maji nchini kuwachukulia hatua wale wote walioziba mto Ruaha bila vibali sahihi vya matumizi ya maji ikiwa ni pamoja na kubomoa walipoziba kwa gharama zao.