Bajaji aliyemnyonga mfanyakazi TANESCO naye auawa
Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limemuua kwa kumpiga risasi Isaya Mzuge, dereva bajaji wakati akijaribu kuwatoroka polisi baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mfanyakazi wa TANESCO mkoani humo Angel Shakiyao.