RC Simiyu atilia shaka matumizi ya milioni 754
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dk. Yahaya Nawanda, ameukataa mradi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Zebeya Wilaya ya Maswa humo lililofanyiwa ukarabati kwa gharama ya Sh Milioni 754 akitilia shaka matumizi ya fedha hizo ikilinganishwa na kazi iliyofanyika