Tanzania yapongezwa kwa uhifadhi wa wakimbizi Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limeipongeza Tanzania kwa kuhifadhi wakimbizi wanaokimbia nchi zao kutokana na machafuko ya kisiasa na vita vinavyojitokeza katika mataifa yao Read more about Tanzania yapongezwa kwa uhifadhi wa wakimbizi