Binti amzika mwanae akiwa hai ili ajiuze vizuri

Miguu ya mtoto

Oliver Meshaki (19), mkazi wa Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa wiki mbili akiwa hai kwa kigezo cha kumnyima uhuru kwenye kazi zake za biashara ya ngono.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS