Wahudumu wa afya Geita wanufaika na Baiskeli
Katia harakati za kuhakikisha maambukizi mapya yanapungua na kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa wananchi, wahudumu wa Afya ngazi ya jamii wamepewa msaaada wa Baiskeli 100 kwa ajili ya kuwafikia waathirika zaidi ya elfu 80 ili waweze kupata huduma kwa muda na wakati sahihi