Mwakinyo kuchunguzwa sakata la kupoteza pambano Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupoteza pambano lake nchini Uingereza. Read more about Mwakinyo kuchunguzwa sakata la kupoteza pambano