Kesi ya Zumaridi yakwama tena, Jamhuri yaonywa
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imeonya upande wa Jamhuri kuhusu danadana za upelelezi kukamilka kwenye kesi namba 11 ya usafirishaji haramu wa binadamu inayomkabili Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi huku ikisema tarehe iliyopangwa ambayo ni tarehe 27 iwe ya mwisho