"Nitaziba pengo la Vanessa Mdee" - Barbiemia

picha ya msanii Barbiemia

Msanii wa BongoFleva Barbiemia amesema ipo siku ataziba nafasi ya Vanessa Mdee ambaye kwa sasa yupo busy kulea familia na anaishi nchini Marekani na mchumba wake Rotimi. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS