Wawekezaji wa ndani wachangia asilimia 92 Imeelezwa kuwa katika robo ya nne mwaka mpaka sasa wawekezaji wa ndani wamechangia asilimia 92 ya uwekezaji wakati wawekezaji wa nje wamechangia asilimia 7ya uwekezaji. Read more about Wawekezaji wa ndani wachangia asilimia 92