Watano mbaroni Mwanza tuhuma za mauaji

Watu watano wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Mange Washa mwenye umri wa miaka 49 ambae inadaiwa aliuawa kwa kukatwa na panga na kichwa chake kutenganishwa na kiwiliwili wakimtuhumu kumfukuza mtoto wake nyumbani

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS