Waathirika wa ukatili wapewe huduma bora - IGP
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoa huduma bora kwa wahanga wa vitendo vya ukatili wanaoripoti matukio ya ukatili katika vituo vya Polisi ili kujenga taswira chanya ya Jeshi la Polisi kwa jamii