Mwanasoka ahukumiwa kunyongwa Iran Mwanasoka Amir Nasr-Azadan aliyehukumiwa kunyongwa Mwanasoka wa kimataifa wa Iran, Amir Nasr-Azadan amehukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa kutokana na kupigania haki za wanawake na uhuru wa kujieleza nchini mwake. Read more about Mwanasoka ahukumiwa kunyongwa Iran