Polisi Iringa yasema imejipanga vyema kwa kampeni
Jeshi la polisi mkoani Iringa limesema kuwa limejipanga vema kuhakikisha kuwa ulinzi na usalama unatawala kwenye mikutano ya kampeni za vyama vya siasa ambayo inatarajia kuanza Agosti 22 mwaka huu.