Avril akana kuingia katika gospel Staa wa muziki kike wa nchini Kenya Avril Nyambura Star wa kike wa nchini Kenya Avril Nyambura amekuja juu baada ya taarifa na uvumi uliosambaa kupitia mitanadaoni kuwa mwanadada huyo hivi sasa ameokoka na kuacha kabisa kufanya muziki wa dunia. Read more about Avril akana kuingia katika gospel