Usipakue game lolote kabla hujafahamu hili
Kama wewe ni mpenzi wa ''Games'' na moja ya ndoto yako siku moja ni kumiliki Playstation, lakini huoni ukitimiza ndoto yako kwa kipindi cha hivi karibuni na kitu ulicho nacho kwa sasa ni kompyuta pekee na unatamani ungeweza kulifanya game hilo ulicheze kwenye kompyuta yako.