Vipodozi 10,000 vyenye madhara vyateketezwa Mamlaka ya Msumbiji imeteketeza bidhaa 10,000 za vipodozi ambazo ni hatarishi kwa afya kufuatia tahadhari kutoka Umoja wa Ulaya. Bidhaa hizo ni pamoja na gels za kuoga, shampoos, krimu na dawa. Read more about Vipodozi 10,000 vyenye madhara vyateketezwa