NJIA ZANGU NI KAMA NAS -JAY MO Jay Moe Mwanamuziki wa Hip Hop wa siku nyingi nchini Tanzania Mo tecknick, Mo conshaz, Jay Mo amesema anavutika sana na Mwanamuziki wa Hip Hop toka nchi Marekani Nas Escobar ndio mtindo anaotumia kwenye Muziki wake. Read more about NJIA ZANGU NI KAMA NAS -JAY MO