GAME YA SASA INAHITAJI PROMOTION YA NGUVU-MIKE TEE

Mike Tee

Mike tee, Mnyalu Mwanamuziki toka nchini Tanzania aliewika sana katika game kuanzia miaka ya 2000 amesema kwa sasa gamei imebadilika kwa kiasi kikubwa kiasi ambacho inahitaji Promotion ya nguvu ili kuweza kukick katika game.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS