Maandalizi Ligi, ukarabati viwanja unaendelea -TFF
Shirikisho la Soka nchini TFF limesema wameshirikiana na Bodi ya Ligi kupitia idara ya ufundi na mashindano katika ukaguzi wa viwanja vyote vitakavyotumika katika michuano ya Ligi kuu, Daraja la kwanza na Daraja la Pili.