"Msitumie nyavu za timba zina sumu" - Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene, ametoa rai kwa wananchi wa Mtera kuacha kutumia nyavu haramu katika shughuli zao za uvuvi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS