TANAPA yazindua kampeni kukuza utalii wa Ndani
Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA limezindua kampeni maalum ya miezi sita yenye lengo la kuwahamasiha watanzania kujenga utamaduni wa kutembelea hifadhi za taifa kila mara ili kuongeza utalii wa ndani.