Mpanju ashauri mbinu mbadala kuwanusuru watoto

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju, alimelitaka Jukwaa la Kitaifa la Malezi mbadala kutoka na mbinu itakayosaidia kuwanusuru watoto wanaopitia madhila katika hatua za makuzi na kujikuta wapo eneo la Malezi Mbadala

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS