Mtoto aliyewahi kubakwa, abakwa tena na Baba yake

Baba anayetuhumiwa kumbaka mwanae

Jeshi la Polisi wilayani Babati mkoani Manyara, linamshikilia Elias Hando (30) mkazi wa Kijiji cha Tsaayo, Kata ya Arri wilayani humo kwa tuhuma za kumbaka mwanae wa kumzaa mwenye umri wa miaka 6.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS