Nchi 15 za Afrika zajadili utunzaji wa bahari
Nchi 15 za bara la Africa zimekutana nchini Tanzania na kufanya kongamano lililolenga kupeleka ujumbe katika nchi hizo Kwa ajili ya kupata uelewa wa mkataba wa kimataifa ambao nchi hizo zitaufuata na kuweka sheria na kanuni juu ya namna bora ya kudhibiti uharibifu baharini