Uganda yamaliza mlipuko wa Ebola Waziri wa afya wa Uganda Jane Ruth Aceng ametangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioanza miezi mitatu iliyopita na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 50 Read more about Uganda yamaliza mlipuko wa Ebola