Vifo vya watoto Njiti vyapungua Kisarawe
Watoto wanaozaliwa chini ya umri (Pre Mature) wameanza kupatiwa huduma ya dawa kwaajili ya kuimarisha mapafu (SURFACTANT) inayotolewa kwa watoto wanazaliwa chini ya wakati (Pre - Mature) baada ya huduma hiyo kuanza kutolewa katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe iliyopo mkoani Pwani