Wananchi Mbeya wapatiwa huduma ya macho bure

Taasisi ya Tulia Trust Mkoani Mbeya kwa kushirikiana  na Taasisi ya Bilal Muslim Mission Tanzania wameanza kutoa matibabu ya macho bure kwa wananchi wote wa Mkoa wa Mbeya ikiwa ni pamoja na oparesheni ndogo ya macho, kutoa miwani bure na uchunguzi wa awali wa mtoto wa hicho

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS