Wakulima punguzeni semina mzalishe zaidi - Bashe Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashauri wadau wa maendeleo nchini kuwasaidia wakulima katika uzalishaji na sio kuwapa semina kwa mwaka mzima bila uzalishaji Read more about Wakulima punguzeni semina mzalishe zaidi - Bashe